BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA BW.ALPHONSO LENHARDT AKIZUNGUMZA MARA BAADA YA UZINDUZI WA MAABARA YA KIFUA KIKUU KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA |
BALOZI WA MAREKANI NCHINI BW. ALPHONSO LENHARDT AKIKATA UTEPE KUASHIRIA UZINDUZI WA MAABARA YA KIFUA KIKUU KATIKA HOSPITALI YA RUFAA JIJINI MBEYA |
BW.LENHARDT AKIFUNGUA PAZIA KUASHIRIA UZINDUZI WA MAABARA YA KISASA YA KIFUA KIKUU KATIKA HOSPITALI YA RUFAA JIJINI MEBYA |
BALOZI LENHARDT AKIANGALIA MOJA AYA MASHINE YA UTAFITI WA MAGONJWA YA KIFUA KIKUU KATIKA HOSPITALI YA RUFAA |
BAADHI YA WAUGUZI WA MAABARA YA KIFUA KIKUU KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA |
MKURUGENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA AKIISHUKURU SERIKALI YA MAREKANI KWA KUENDELA KUISADIA TANZANIA KATIKA HARAKATI ZA UTAFITI KWA MAGONJWA SUGU KAMA VILE KIFUA KIKUU, MALARIA NA UKIMWI |
Post a Comment
Post a Comment