UKAGUZI UNAENDELEA MLANGONI, WANANCHI WATAHAYARI KUONA HALI HIYO YA ULINZI ILIVYOIMARISHA TOFAUTI NA WAKATI MWINGINE |
WANAHABARI KAMA KAWAIDA YAO WALITAMBULIKA KWA VITAMBULISHO MAALUMU VILIVYOTOLEWA ILI KURAHISISHA KAZI WAKATI WA KUCHUKUA MATUKIO UWANJANI HAPO |
GARI LA POLISI LIKIWA LIMEONGOZA ,MSAFARA WA RAISI LIKIWASILI KATIKA IUWANJA WA SOKOINE KWA AJILI YA MAADHIMISHO YA MEI MOSI |
WANAHABARI WA VYOMBO MBALIMBALI WALIKAA SEHEMU MAALUMU KWA AJILI YA KUCHUKUA MATUKIO YA SHEREHE ZA MEI MOSI |
MPIGA PICHA WA RAIS, FREDY MARO ALIKUWA NI MWANAHABARI PEKEE ALIYEKUWA NA FURSA KWENDA HUKU NA KULE KWA AJILI YA KUPATA MATUKIO MBALIMBALI BILA KUZUIWA NA WANAUSALAMA |
BAADHI YA WANAHABARI WALIJIKUTA WAKITAFAKARI "KIBUNGE"NADHANI HII ILIKUWA IMETOKANA NA UCHOVU WA SAFARI AMA VINGINEVYO |
WAPIGA PICHA WA TELEVISHENI YA TAIFA TBC WALIKUWA KATIKA HARAKATI ZA KURUSHA MATANGAZO HAYO 'LIVE' KUPITIA MAMILIONI YA WANANCHGI WALIOKO NJE YA MKOA WA MBEYA NA WALE WALIOKO MAJUMBANI |
MENEJA MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA MKOA WA ARUSHA JAMES KISARIKA AKIPOKEA KITITA CHA FEDHA IKIWA NI ZAWADI YA UTUMISHI BORA |
ILIKUWA NI FURSA NYINGINE YA UZINDUZI WA GAZETI KONGWE LA CHAMA CHA WAFANYAKAZI NCHINI MAARUFU KWA JINA LA MFANYAKAZI AMBALO LIMEREJEA TENA |
RAIS KIKWETE PIA ALICHUKUA FURSA NYINGINE YA KUMKABIDHI ZAWADI MKURUGENZI WA JIJI LA MBEYA AMBAYE NAYE ALIJIZOLEA KITITA CHA FEDHA TASLIMU |
Post a Comment
Post a Comment