WAKATI WENGINE WANATUPA TAKA WENGINE WANAOKOTA KWA KAZI NYINGINE, MJINI KILA MTU NA KAZI YAKE, MZEE HUYU AMBAYE ALINYAKWA NA KAMERA YETU KATIKA MOJA YA MITAA YA JIJI LA MBEYA HUISHI KWA KUOKOTA TAKANGUMU NA KUZIFANYIA UKARABATI NA KUUNDA VITU VINGINE |
Post a Comment
Post a Comment