JIJI LA MBEYA KAMA GREEN LAND HAKUNA JUA TANGU ASUBUHI
Hali ya hewa katika jiji la Mbeya imekuwa tofauti kuanzia leo asubuhi kutokana na baridi kali iliyosababisha hata jua kutoonekana, baadhi ya wakazi wa jiji la Mbeya wameonekana wakiwa katika nguo nzito huku wengi wao wakiwa wameketi katika mikahawa mbalimbali wakipata chai.
Post a Comment
Post a Comment