Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Bw.Makelele akizungumza na madiwani na watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Chunya.
|  | 
| Baadhi ya wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya wakifuatilia kwa makini taarifa ya mkaguzi wa nje na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali | 
|  | 
| Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwa na Mkuu wa wilaya ya Chunya wakati akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri hiyo kujadili mapato na matumizi | 
|  | 
| Madiwani wa wilaya ya Chunya wakiwa wamesimama ukumbini kuashiria kuingia kwa Mkuu wa mkoa ndani ya Ukumbi wa halmashauri kwa ajili ya kikao kinachoendelea hivi sasa | 
|  | 
| Madiwani wa Chunya wakifuatilia hatua kwa hatua kalabrasha la mapato na matumizi la halmashauri hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2011-12 | 
|  | 
| Mwenyekiti wa halmashauri ya Chunya Bw.Makelele akisisitiza jambo katika kikao kinachoendelea sasa kwenye ukkumbi wa mikutano wa Halmashauri | 
|  | 
| Baadhi ya Madiwani na watendaji wa Halmashauri ya Chunya | 
|  | 
| Mkaguzi wa nje Jane Mwihanga akipitia kalabrasha kurasa kwa kurasa katika kikao cha halmashauri ya Chunya kinachoendelea muda huu | 












Post a Comment