Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Bw.Makelele akizungumza na madiwani na watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Chunya.
Baadhi ya wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya wakifuatilia kwa makini taarifa ya mkaguzi wa nje na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali |
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwa na Mkuu wa wilaya ya Chunya wakati akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri hiyo kujadili mapato na matumizi |
Madiwani wa wilaya ya Chunya wakiwa wamesimama ukumbini kuashiria kuingia kwa Mkuu wa mkoa ndani ya Ukumbi wa halmashauri kwa ajili ya kikao kinachoendelea hivi sasa |
Madiwani wa Chunya wakifuatilia hatua kwa hatua kalabrasha la mapato na matumizi la halmashauri hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2011-12 |
Mwenyekiti wa halmashauri ya Chunya Bw.Makelele akisisitiza jambo katika kikao kinachoendelea sasa kwenye ukkumbi wa mikutano wa Halmashauri |
Baadhi ya Madiwani na watendaji wa Halmashauri ya Chunya |
Mkaguzi wa nje Jane Mwihanga akipitia kalabrasha kurasa kwa kurasa katika kikao cha halmashauri ya Chunya kinachoendelea muda huu |
Post a Comment
Post a Comment