SHEKHE ALIYEPIGWA MSIKITINI AELEZA YALIYOMFIKA
Shekhe wa wilaya ya Kyela Nuhu Mwafilango ambaye siku ya Idd el Fitri alivamiwa na waumini wake katikati ya ibada ya swala ya Id na kupigwa, amefunguka na kueleza chanzo cha tukio hilo na kusema kuwa kimetokana na tuhuma mbalimbali walizonazo waumini dhidi yake.
Akizungumza na mwandishi wa blog hii ambaye alimtembelea nyumbani kwake katika mtaa wa Ndandalo Shekhe Mwafilango alisema kuwa baadhi ya waumini ambao hawalipendi Baraza Kuu la Waislamu BAKWATA walipanga njama za kumuondoa wakimtuhumu kwa mambo ya ushirikina na ufugaji wa nguruwe.....
Post a Comment
Post a Comment