WALIOMTWANGA SHEKHE WATINGA KIZIMBANI
WAUMINI dini ya Kiislamu wanaodaiwa kufanya vurugu msikitini kwa kumpiga Shekhe wakati wa ibada ya swala ya Id el fitri wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi wa wilaya ya Kyela na kusomewa mashtaka manne ya kula njama,kufanya vurugu, kushambulia na kudhuru mwili kinyume cha sheria ya kanuni za adhabu......
Post a Comment
Post a Comment