Taarifa zilizozagaa juu ya kupigwa na kujeruhiwa kwa risasi Shekhe Ponda Issa Ponda ambazo zilizagaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini zimezimwa baada ya akuonekana kwa picha yake katika mitandao akiwa amelazwa katika hospitali moja hali ya kuwa amefungwa bandeji katika bega lake la kulia.Taarifa zilizozagaa tangu jana jioni ziliibua utata huku kila mmoja akieleza anavyojua sakata hilo na hata baadhi yao kumzushia kifo.kwa mujibu wa picha hii iliyopostiwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii inaonesha namna ambavyo Shekhe Ponda alivyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. |
Post a Comment
Post a Comment