Wachezaji wa timu ya JKT Mbweni wakimzonga refarii wa mchezo huo Christopher Eliachimu kwa madai ya uchezeshaji mbovu |
Wachezaji wa timu ya JKT Mbweni wakitoka nje ya uwanja |
Wachezaji wa timu ya JKT Mbweni wakiwa nje ya uwanja baada ya madai ya uchezeshaji mbovu wa refarii Christopher El;iachimu |
Furaha ya Ushindi kwa timu ya Philbet Bayi |
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akimpongeza Philibert Bayi, Mkurugenzi wa timu ya Philbert Bayi ambayo imeibuka Bingwa wa Taifa wa mashindano hayo |
Mwenyekiti wa Chama Cha Netiboli Taifa Anna Kibira akitoa nasaha mara baada ya kumalizika kwa ligi ya Taifa ya Netboli katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya jioni hii. |
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akimpongeza mchezaji bora kutoka timu ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya (HAMAMBE) |
Mashabiki wa timu ya Filbert Bayi wakiwa wamebeba kombe baada ya kutawazwa mabingwa wa Taifa wa Netboli |
Post a Comment
Post a Comment