|  | 
| Wachezaji wa timu ya JKT Mbweni wakimzonga refarii wa mchezo huo Christopher Eliachimu kwa madai ya uchezeshaji mbovu | 
|  | 
| Wachezaji wa timu ya JKT Mbweni wakitoka nje ya uwanja | 
|  | 
| Wachezaji wa timu ya JKT Mbweni wakiwa nje ya uwanja baada ya madai ya uchezeshaji mbovu wa refarii Christopher El;iachimu | 
|  | 
| Furaha ya Ushindi kwa timu ya Philbet Bayi | 
|  | 
| Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akimpongeza Philibert Bayi, Mkurugenzi wa timu ya Philbert Bayi ambayo imeibuka Bingwa wa Taifa wa mashindano hayo | 
|  | 
| Mwenyekiti wa Chama Cha Netiboli Taifa Anna Kibira akitoa nasaha mara baada ya kumalizika kwa ligi ya Taifa ya Netboli katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya jioni hii. | 
|  | 
| Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akimpongeza mchezaji bora kutoka timu ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya (HAMAMBE) | 
|  | 
| Mashabiki wa timu ya Filbert Bayi wakiwa wamebeba kombe baada ya kutawazwa mabingwa wa Taifa wa Netboli | 




Post a Comment