|  | 
| Mama Pili Mtambalike kutoka Baraza la Habari Tanzania(MCT) | 
|  | 
| Innocent Mungy wa TCRA akitoa mada siku ya mwisho ya mafunzo kwa blogers wa Tanzania | 
|  | 
| Mkurugenzi Mkuu wa Jamii Forum Maxence Melo akielezea changamoto walizokutana nazo katika uendeshaji wa mtandao wa Jamii Forums | 
|  | 
| Wakurugenzi wa Jamii Forums kutoka (kushoto) Mike Mushi na Maxene Melo wakiwa katika mafunzo maalumu kwa Blogers wa Tanzania, mafunzo yaliyoendeshwa na TCRA | 
|   | 
| Mama Pili Mtambalike kutoka Baraza la Habari Tanzania (MCT)na Innocent Mungy wakijadili jambo katika mafunzo kwa Blogers wa Tanzania | 
|  | 
| Mwandishi wa Blogu hii Rashid Mkwinda akielezea uzoefu wake na changamoto alizokutana nazo kwa miaka 8 tangu kuanza kublog | 
|  | 
| Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Media Group Fred Njeje akielezea uzoefu wake wa kublog na changamoto za blogers wa Tanzania Kimataifa | 
|  | 
| Mwandishi wa Blog hii akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa TCRA Profesa John Nkoma kutambua mchango wake wa kublog na mawasiliano ya mitandao ya Kijamii nchini | 
|  | 
| Mwandishi Mkuu wa Blog ya Mbeya Yetu Joseph Mwaisango akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa TCRA katika kutambua mchango wake wa kublog na mawasiliano ya mitandao ya Kijamii nchini | 
|  | 
| Blogers | 








Post a Comment