Wanafunzi wapewa Elimu ya Matumizi sahihi ya Kondomu Rashid Mkwinda 3:08 PM Mtoa Ushauri Nasaha wa Kikundi Cha Huduma Majumbani mkoa wa Mbeya (KIHUMBE) Nyigamle Kilema akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya Sekondari Sangu namna ya matumizi salama wa mipira ya kiume wakati wa tendo la ndoa picha
Post a Comment
Post a Comment