Ads (728x90)




Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ngana wilayani Kyela wakifuatilia kwa makini mkutano wa elimu juu ya mwenendo wa athari za tabia nchi na uharibifu wa mazingira



Baadhi ya watoto ambao ndio wanufaika wa baadaye wa utunzaji wa mazingira wakifuatilia mkutano wa elimu juu ya athari ya tabia nchi

Katibu tarafa wa tarafa ya Unyakyusa Kheri William ambaye alimuwakilishi Mkuu wa wilaya Kyela akisisitiza umuhimu wa utunzaji wa mazingira kwa manufaa ya vizazi vijavyo

Katibu wa Mtandao wa Asasi zisizo za kiserikali mkoa wa Mbeya MBENGONET Bw. Kitta akifafanua jambo wakati mkutano juu ya utunzaji wa mazingira

Wanafunzi wa shule ya Msingi Ngana iliypo wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wakishiriki katika mkutano wa elimu juu ya mewenendo na athari za tabia nchi na utunzaji mazingira

Post a Comment

Post a Comment