| Baadhi ya mashabiki wa Prison Tawi la Sido wakipanga mikakati ya ushindi | 
|  | 
| Mwenyekiti wa Prison Tawi la SIDO Nicholaus Sigalla akizungumza na wajumbe wa Tawi hilo mkakati wa ushindi na hamasa mbele ya wajumbe wa Tawi hilo muda mfupi baada ya kuchanguliwa | 
|  | 
| Wajumbe wa Prison Tawi la SIDO wakiwa katika hamasa za ushindi ikiwa ni maandalizi ya kukabiliana na Mbeya City Octoba 29 | 



Post a Comment