Baadhi ya mashabiki wa Prison Tawi la Sido wakipanga mikakati ya ushindi |
Mwenyekiti wa Prison Tawi la SIDO Nicholaus Sigalla akizungumza na wajumbe wa Tawi hilo mkakati wa ushindi na hamasa mbele ya wajumbe wa Tawi hilo muda mfupi baada ya kuchanguliwa |
Wajumbe wa Prison Tawi la SIDO wakiwa katika hamasa za ushindi ikiwa ni maandalizi ya kukabiliana na Mbeya City Octoba 29 |
Post a Comment
Post a Comment