Ads (728x90)

Nyumba iliyoingia mgogoro wa kifamilia ikiwa imefungwa kwa amri ya Baraza la Nyumba, huku watoto wakiwa nje
Jirani Bi. Esther Mwailubi akielezea historia ya nyumba ya jirani yake marehemu Samwel Moyo ambayo aliwaachia wanawe, ambayo mama aliyeachika ameenda mahakamani kudai kuwa ni nyumba yake
Mke wa mtoto wa marehemu Quen Gilbert ambaye alikuwa anaishi katika nyumba hiyo akiwa ameduwaa baada ya watu wanaodaiwa kutokea mahakamani kuamuru watoe vitu vyao nje.
Baadhi ya wananchi waliokusanyika mtaa wa Nzovwe kushuhudia namna ambavyo vitu vikitolewa nje kwa madai kuwa nyumba hiyo ni mali ya mwanamke aliyeachwa na marehemu.
Mke wa mtoto wa mwenye nyumba akiwa analia kwa uchungu baada ya kutolewa vitu vyake nje.
Wakazi wa maeneo ya Nzovwe wakishuhudia tukio la utoaji wa vitu katika nyumba yenye mgogoro
Gilbert Moyo mtoto wa marehemu Samwel Moyo akielezea namna ambavyo mama yake wa kambo alivvyokuwa na mgogoro na familia hiyo hata wakati baba yake mzazi alipokuwa hai.
Baadhi ya viongozi wa serikali ya Mtaa wakichangishana fedha kwa ajili ya kuisadia familia hiyo ili wamtafute wakili kuweka zuio la mama wa kambo aliyeachwa na marehemu Moyo ambaye anadai kuwa nyumba hiyo ni mali yake.
Baadhi ya samani zikiwa zimetupwa nje ya nyumba
Mtu ambaye baadaye alikuja kufahamika kuwa ni dalali akisindikizwa na askari polisi akiwa ametoka kutia kufuri  nyumba hiyo baada ya samani kutolewa nje.

Kufuri likiwekwa mlangoni baada ya samani zote kutolewa nje.


Post a Comment