Nyumba iliyoingia mgogoro wa kifamilia ikiwa imefungwa kwa amri ya Baraza la Nyumba, huku watoto wakiwa nje |
Jirani Bi. Esther Mwailubi akielezea historia ya nyumba ya jirani yake marehemu Samwel Moyo ambayo aliwaachia wanawe, ambayo mama aliyeachika ameenda mahakamani kudai kuwa ni nyumba yake |
Mke wa mtoto wa marehemu Quen Gilbert ambaye alikuwa anaishi katika nyumba hiyo akiwa ameduwaa baada ya watu wanaodaiwa kutokea mahakamani kuamuru watoe vitu vyao nje. |
Baadhi ya wananchi waliokusanyika mtaa wa Nzovwe kushuhudia namna ambavyo vitu vikitolewa nje kwa madai kuwa nyumba hiyo ni mali ya mwanamke aliyeachwa na marehemu. |
Mke wa mtoto wa mwenye nyumba akiwa analia kwa uchungu baada ya kutolewa vitu vyake nje. |
Wakazi wa maeneo ya Nzovwe wakishuhudia tukio la utoaji wa vitu katika nyumba yenye mgogoro |
Gilbert Moyo mtoto wa marehemu Samwel Moyo akielezea namna ambavyo mama yake wa kambo alivvyokuwa na mgogoro na familia hiyo hata wakati baba yake mzazi alipokuwa hai. |
Baadhi ya samani zikiwa zimetupwa nje ya nyumba |
Mtu ambaye baadaye alikuja kufahamika kuwa ni dalali akisindikizwa na askari polisi akiwa ametoka kutia kufuri nyumba hiyo baada ya samani kutolewa nje. |
Kufuri likiwekwa mlangoni baada ya samani zote kutolewa nje. |
Post a Comment
Post a Comment