Diwani wa kata ya Nkangamo Weston Simwelu akifarijiwa na Diwani mwenzake wa Kata ya Tunduma Frank Mwakajoka mara baada ya Bw. Simwelu kufiwa na watoto wake wawili kwa kuchinjwa na kunyongwa |
Katibu Uchumi na Fedha wa Kata ya Tunduma akimfariji Diwani wa Nkangamo Weston Simwelu ambaye watoto wake waliuawa kinyama kwa kuchinjwa na kunyongwa mjini Tunduma. |
Jeneza lenye mwili wa msichana wa kazi wa Bw. Simwelu, Sista Nyirenge likiwa tayari kwa kusafirishwa kwa ajili ya mazishi katika kijiji cha Isansa wilayani Mbozi |
Diwani wa kata ya Tunduma Frank Mwakajoka (kulia) na kiongozi wa mtaa huo Stanslaus Malekela wakiwa wanamuongoza Diwani wa Nkangamo Weston Simwelu ambaye alipata pigo la kuuawa kwa watoto wawili. |
Baadhi ya majirani wa mtaa wa Tazara ambao walifika eneo la tukio kushuhudia mauaji hayo. |
Kaka wa marehemu Sista Nyirenge, Mashaka Nyirenge akiwa nje ya chumba cha kuhifadhia maiti kituo cha Afya Tunduma. |
Msafara kuelekea kijiji cha Isansa kwa ajili ya mazishi yalyotokana na vifo vilivyotokana na mauaji ya kinyama yaliyofanyika mjini Tunduma mkoani Mbeya. |
Add caption |
Post a Comment
Post a Comment