Wanahabari wakijadiliana jambo na viongozi wa kamati ya Maudhui ya TCRA katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya. |
Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya TCRA Bi. Margareth Munyagi akisisitiza jambo wakati wa kikao cha pamoja kati ya waandaaji wa vipindi kutoka Redio mbalimbali za nyanda za juu kusini |
Pichani washiriki wa mafunzo wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa |
Baadhi ya waandishi wa hanabri kutoka vituo mbalimbali vya Redio wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe na viongozi wa Kamati ya Maudhui ya TCRA |
Post a Comment
Post a Comment