| Picha Uwanja wa Sokoine wakati wa matengezo baada ya TFF kufungia viwanja hivyo kutokana na kutokidhi viwango. | 
| Hivi ndivyo ulivyokuwa ukiaonekana baada ya kuondolewa nyasi zote za awali. | 
| Matambo wa kusindilia uwanja ukiendelea na shughuli za markebisho ya uwanja huo | 
| Shughuli za marekebisho ya uwanja huo ikiendelea kabla ya kukamilika | 
|  | 
| Hatimaye uwanja ukakamilika na kuwa katika hali hii nadhifu inayoonekana hata hivyo mechi za ligi Kuu zimesogezwa mbele ili kuacha nafasi ya majani yaliyopandwa kushikana vyema na ardhi. | 
|  | 
| Hivi ndivyo Dimba la Sokoine linavyoonekana kwa sasa. | 
|  | 
| Baadhi ya vibarua wakimalizia kung'oa nyasi zisizostahili ambazo zimeota pamoja na nyasi mpya katika uwanja wa Sokoine kama wanavyoonekana pichani | 
|  | 
| Dimba la Sokoine Jijini Mbeya linavyoonekana kwa sasa. | 





Post a Comment