|  | 
| Mishikaki maalum kunywea kinywaji baridi au Gah-wa ambayo hukupa hamu ya kuendeleaa kula na kunywa | 
|  | 
| Aina hii ya mishikaki ni maalum kwa wale waliolala na hang over | 
|  | 
| Kuku Choma na Chips inapendeza zaidi kukamulia limao na pilipili kwa mbaaali humpa mlaji hamu ya kula | 
|  | 
| Baadhi ya walaji hupenda nyama iliyoiva bila kukauka na wengine hupendelea iliyoiva na kukauka ni uchaguzi wa mlaji mwenyewe namna ambavyo anapendelea. | 
|  | 
| Mmoja wa waandaaji Aziz Chonya akiwa katika harakati za maandalizi ya maakuli kwa ajili ya walaji Nyama Choma nyakati za jioni Jijini Mbeya | 
|  | 
| Mchomaji mashuhuri wa Chips akiendelea na makarangizi | 
|  | 
| Hima hima jamaa wanasubiri finyangooo!!!! ndivyo anavyoelekea kuhimiza Aziz Chonya | 
|  | 
| Nyama Choma zikiwa jikoni kabla ya kumfikia mlaji | 
|  | 
| Chips zikiwa katika maandalizi | 
|  | 
| Add caption | 







Post a Comment