|  | 
| Maktaba ya Mkoa wa Mbeya | 
|  | 
| Jengo la Maktaba ya Mkoa wa Mbeya ambalo lipo hatarini kubomoka kutokana na paa lake kuvuja | 
|  | 
| Paa la Maktaba ya Mkoa wa Mbeya kama linavyoonekana pichani | 
|  | 
| Hii ndio hali halisi ya uchakavu wa jengo la Maktaba ya Mkoa wa Mbeya | 
|  | 
| Paa katika moja ya chumba cha maktaba ya mkoa linavyoonekana likiwa karibu na mfumo wa umeme | 
|  | 
| Hivi ndivyo lilivyo jengo la Maktaba ya mkoa wa Mbeya | 
|  | 
| Dari ya maktaba ya mkoa wa Mbeya jinsi lilivyooza kutokana na paa lake kuvuja | 
|  | 
| Kaimu Mkutubi wa Maktaba ya Mkoa wa Mbeya Frolence Mwambeso akimueleza Mwandishi wetu uchakavu wa jengo la maktaba ya mkoa ambalo linakaribia kufikisha miaka 40 tangu lijengwe | 
|  | 
| Chumba cha Kompyuta ambacho kilijaa maji ya mvua kutokana na jengo hilo kuvuja. | 
|  | 
| Baadhi ya vitabu vilivyoharibika kutokana na jengo hilo la Maktaba kuvuja | 
|  | 
|  | 
| Baadhi ya vitabu vilivyopo katika Maktaba ya mkoa wa Mbeya ambavyo viko hatarini kutokana na jengo hilo kuvuja kila inaponyesha mvua. | 
|  | 
| Sehemu ya Ukuta wa Maktaba hiyo ukilwa umelowa baada ya paa la jengo hilo la Maktaba ya Mkoa kuvuja wakati wa mvua. | 










Post a Comment