Picha Uwanja wa Sokoine wakati wa matengezo baada ya TFF kufungia viwanja hivyo kutokana na kutokidhi viwango. |
Hivi ndivyo ulivyokuwa ukiaonekana baada ya kuondolewa nyasi zote za awali. |
Matambo wa kusindilia uwanja ukiendelea na shughuli za markebisho ya uwanja huo |
Shughuli za marekebisho ya uwanja huo ikiendelea kabla ya kukamilika |
Hatimaye uwanja ukakamilika na kuwa katika hali hii nadhifu inayoonekana hata hivyo mechi za ligi Kuu zimesogezwa mbele ili kuacha nafasi ya majani yaliyopandwa kushikana vyema na ardhi. |
Hivi ndivyo Dimba la Sokoine linavyoonekana kwa sasa. |
Baadhi ya vibarua wakimalizia kung'oa nyasi zisizostahili ambazo zimeota pamoja na nyasi mpya katika uwanja wa Sokoine kama wanavyoonekana pichani |
Dimba la Sokoine Jijini Mbeya linavyoonekana kwa sasa. |
Post a Comment
Post a Comment