Maktaba ya Mkoa wa Mbeya |
Jengo la Maktaba ya Mkoa wa Mbeya ambalo lipo hatarini kubomoka kutokana na paa lake kuvuja |
Paa la Maktaba ya Mkoa wa Mbeya kama linavyoonekana pichani |
Hii ndio hali halisi ya uchakavu wa jengo la Maktaba ya Mkoa wa Mbeya |
Paa katika moja ya chumba cha maktaba ya mkoa linavyoonekana likiwa karibu na mfumo wa umeme |
Hivi ndivyo lilivyo jengo la Maktaba ya mkoa wa Mbeya |
Dari ya maktaba ya mkoa wa Mbeya jinsi lilivyooza kutokana na paa lake kuvuja |
Kaimu Mkutubi wa Maktaba ya Mkoa wa Mbeya Frolence Mwambeso akimueleza Mwandishi wetu uchakavu wa jengo la maktaba ya mkoa ambalo linakaribia kufikisha miaka 40 tangu lijengwe |
Chumba cha Kompyuta ambacho kilijaa maji ya mvua kutokana na jengo hilo kuvuja. |
Baadhi ya vitabu vilivyoharibika kutokana na jengo hilo la Maktaba kuvuja |
Baadhi ya vitabu vilivyopo katika Maktaba ya mkoa wa Mbeya ambavyo viko hatarini kutokana na jengo hilo kuvuja kila inaponyesha mvua. |
Sehemu ya Ukuta wa Maktaba hiyo ukilwa umelowa baada ya paa la jengo hilo la Maktaba ya Mkoa kuvuja wakati wa mvua. |
Post a Comment
Post a Comment