Ads (728x90)



LIGI KUU INAENDELEA KESHO KATIKA UWANJA WA SOKOINE, NI MECHI YA AINA YAKE KWA KUWA ITATOA PICHA YA TIMU ITAKAYOSHUKA DARAJA MSIMU HUU, IWAPO, MBEYA CITY ATAKUBALI KICHAPO KWA JKT MGAMBO ITAKUWA TIKETI YA TIMU YA PRISON YA MBEYA KUSHUKA DARAJA, LAKINI IWAPO MBEYA CITY ITAGANGAMALA NA KUMFUNGA MGAMBO AMBAYE NI MBABE WA TIMU YA SIMBA ALIYEKUBALI KICHAPO CHA GOLI 1-0 ATAKUWA AMEMUOKOA KAKA YAKE PRISON NA KUWAPA RAHA WAPENZI WA SOKA WA MKOA WA MBEYA KUENDELEA KUZIONA TIMU HIZO ZIKIWA LIGI KUU MSIMU UJAO.IWAPO MBEYA CITY ITAKUBALI KICHAPO KWA TIMU YA MGOMBO ITAKUWA NI TIKETI YA PRISON KUSHUKA DARAJA. TUSUBIRI DAKIKA 90
ZA KESHOO



Post a Comment

Post a Comment