PAZIA La ligi kuu ya Voda com limefungwa leo huku timu ya Mbeya City ikimaliza kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Mgambo JKT ya Tanga na kushikilia nafasi ya 3 nyumba ya Azam na Yanga zote za Jijini Dar es salaam.
Kwa mchezo wa leo Mbeya City imemaliza ligi ikiwa na jumla ya point 49 huku mabingwa wa ligi hiyo Azam aliyenyakua ubingwa huku akibakiwa na mechi moja mkononi akiwa na jumla ya point 62 baada ya kuwakimbiza maafande wa JKT Ruvu kwa 1-0.
Watani wa jadi Yanga na Simba memorialize ligi hiyo kwa sare ya bao
1-1 huku Yanga ikishikilia nafasi ya pili kwa jumla ya Pointi 56 ilhali
watani wake Simba ikimaliza ligi ikiwa na jumla ya point 38.
Post a Comment
Post a Comment