Ads (728x90)


Mwandishi wa Habari wa Clement Sanga mwakilishi wa Chanel Ten mkoani Iringa anayedai kuibiwa Laptop katika Hotel aliyolala.


Mwanishi wa Habari Clement Sanga akiwa na waandishi wenzie nje ya Hotel anayodai aliibiwa vifaa vyake vya kazi.


Baadhi ya Waandishi wa habari kutoka mikoa 6 ya Nyanda za Juu Kusini wakisikiliza kwa makini taarifa za kuibiwa kwa mwandishi mwenzao katika nyumba ya kulala wageni

Mwenyekiti wa semina kwa waandishi wa habari wa mikoa 6 Juma Nyumayo akitoa taarifa za kuibiwa kwa vitendea kazi vya mwandishi wa habari mwakilishi wa Chanel 10 mkoani Iringa Clement Sanga

Post a Comment

Post a Comment