|  | 
| Mwandishi wa Habari wa Clement Sanga mwakilishi wa Chanel Ten mkoani Iringa anayedai kuibiwa Laptop katika Hotel aliyolala. | 
|  | 
| Mwanishi wa Habari Clement Sanga akiwa na waandishi wenzie nje ya Hotel anayodai aliibiwa vifaa vyake vya kazi. | 
|  | 
| Baadhi ya Waandishi wa habari kutoka mikoa 6 ya Nyanda za Juu Kusini wakisikiliza kwa makini taarifa za kuibiwa kwa mwandishi mwenzao katika nyumba ya kulala wageni | 
|  | 
| Mwenyekiti wa semina kwa waandishi wa habari wa mikoa 6 Juma Nyumayo akitoa taarifa za kuibiwa kwa vitendea kazi vya mwandishi wa habari mwakilishi wa Chanel 10 mkoani Iringa Clement Sanga | 




Post a Comment