| Mke wa marehemu akisaidiwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe wakati wa mazishi yaliyofanyika shambani kwa marehemu Mtaki eneo la Mpemba | 
|  | 
| Marehemu Shomi Mtaki enzi za uhai wake | 
|  | 
| Ni kama alikuwa akiashiria kuaga ndugu zake | 
|  | 
| Safari kutoka chumba cha maiti Hospitali ya Wilaya Vwawa Mbozi | 
|  | 
| Safari inaendelea kurejea nyumbani kwa ajili ya maandalizi ya mazishi | 
|  | 
| Hatimaye msafara unaingia Tunduma mjini | 
|  | 
| Kuelekea nyumbani kwa marehemu Mtaki | 
|  | 
| Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likiingizwa nyumbani | 
|  | 
| Add caption | 
|  | 
| Ndugu jamaa na marafiki wakiwa wanaomboleza kifo cha Mpendwa wao Shomi Mtaki | 
|  | 
| Mwakilishi wa waandishi wa habari Ulimboka Mwakilili akitoa salamu za rambi rambi kutoka kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya | 
|  | 
| Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Waandishi wa habari mkoa wa Mbeya Christopher Nyenyembe akifuatiwa na Mweka hazina wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Mbeya Brandy Nelson wakimfariji mjane | 
|  | 
| Msafara kuelekea katika kanisa la Moravian Usharika wa Tunduma | 
|  | 
| Msafara unaelekea kanisa la Moravian | 
|  | 
| Mkuu wa wilaya ya Momba Abihudi Saideya akiweka shada la maua katika kaburi la Shomi Mtaki shambani kwake Mpemba-Tunduma | 



Post a Comment