|  | 
| Abubakari Muharram(13) mshindi wa kuhifadhi na kusoma Koran Tukufu Juzuu 10 | 
|  | 
| Majaji wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Koran wakifuatilia kwa makini namna ambavyo vijana wakichuana kusoma na kuhifadhi Koran katika msikiti wa Barabara ya 8 Sokomatola Jijini Mbeya. | 
|  | 
| Baadhi ya washiriki wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Koran | 
|  | 
| Mshiriki wa kusoma na kuhifadhi Koran Tukufu Habiba Jafar akishiriki kusoma na kuhifadhi Juzuu 3 katika mashindano ya kusoma na kuhifadhi Koran Jijini Mbeya leo mchana | 
|  | 
| Sheikh mkuu wa mkoa wa Mbeya(BAKWATA) Mohamed Mwansasu akitoa nasaha wakati wa mashindano ya kusoma na Kuhifadhi Koran Tukufu leo mchana | 



Post a Comment