|  | 
| Mke wa maarehemu Emmanuel Mbuza akiongozwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe | 
|  | 
| Kaka wa marehemu Emmanuel Mbuza, Oscar Mbuza akiongoza ndugu zake kuweka shada la maua katika kaburi la ndugu yake kwenye makaburi ya familia eneo la Kalobe Jijini Mbeya | 
|  | 
| Umoja wa Vijana wa CCM wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Mbuza ambaye alikuwa ni Katibu Uenezi na Itikadi wa CCM Jiji la Mbeya | 
|  | 
| Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Umoja akimkabidhi bahasha ya rambirambi mtoto wa marehemu Mbuza, Chrisprin Mbuza | 
|  | 
| Mtoto Chrisprin Mbuza akimbebeleza dada yake Carren baada ya wanafunzi wenzao wa shule ya Msingi Umoja kuja kuwapa mkono wa rambirambi wakati wa kuuaga mwili wa baba yao Emmanuel Mbuza | 
|  | 
| Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Sambwee Shitambala akimkabidhi rambirambi kaka wa marehemu Leonard Mbuza. | 
|  | 
| Mwandishi wa habari na Mwenyekiti mstaafu wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoa wa Mbeya Christopher Nyenyembe akitoa heshima mbele ya mwili wa Mbuza. | 











































Post a Comment