Abubakari Muharram(13) mshindi wa kuhifadhi na kusoma Koran Tukufu Juzuu 10 |
Majaji wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Koran wakifuatilia kwa makini namna ambavyo vijana wakichuana kusoma na kuhifadhi Koran katika msikiti wa Barabara ya 8 Sokomatola Jijini Mbeya. |
Baadhi ya washiriki wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Koran |
Mshiriki wa kusoma na kuhifadhi Koran Tukufu Habiba Jafar akishiriki kusoma na kuhifadhi Juzuu 3 katika mashindano ya kusoma na kuhifadhi Koran Jijini Mbeya leo mchana |
Sheikh mkuu wa mkoa wa Mbeya(BAKWATA) Mohamed Mwansasu akitoa nasaha wakati wa mashindano ya kusoma na Kuhifadhi Koran Tukufu leo mchana |
Post a Comment
Post a Comment