Ads (728x90)

Wahitimu wa Chuo Cha Uuguzi Faraja wakicheza muziki kwa Step wakati wa mahafali ya Chuo hicho.

Baadhi ya viongozi na walimu wa Chuo Cha Uuguzi cha FARAJA wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi wa mahafali hiyo.



Wahitimu wakifurahia mahafali wakicheza muziki kwa step!!

Wazazi na wageni waalikwa wakifuatlia mahafali ya Chuo cha Uuguzi Faraja.


Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha FARAJA wakifuatilia mahafali ya chuo hicho

Mshereheshaji wa Kimataifa Mc Charles Mwakipesile akiwa katika mavadhi nadhifu akiongoza mahafali hayo kwa umahiri mkubwa.

 



Ni wakati wa kuburudika!! kwa muziki

Burudani kwa kwenda mbele!! kila mmoja alijitupa uwanjani kufurahia mahafali ya 5 ya chuo hicho

Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo Cha Uuguzi Faraja cha Jijini Mbeya, Ulimboka Mwakilili akiburudika kwa kucheza muziki wa asili wa kabila la Wasafywa akiwa na mkewe na mzee maarufu wa eneo hilo.

Baadhi ya wanafunzi wakitoa burudani wakati wa mahafali hayo.

Mkurugenzi mwenza wa Chuo cha Uuguzi Faraja Nsokolo Kanyiki akitoa nasaha zake kwa wahitimu
 

Baadhi ya walimu wa Chuo cha Uuguzi Faraja

Mshereshejaji wa Kimataifa MC Charles Mwakipesile akimkaribisha mmoja wa wazee ambao walialikwa katika mahafali hiyo kutoa baraka zao.

Mzee Maarufu akiwa na mkewe wakimshukuru na kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Faraja Ulimboka Mwakilili.

Mmoja wa wanafunzi wa Chuo cha Uuguzi Faraja akitunukiwa cheti cha kuhitimu masomo ya Uuguzi.


Baadhi ya wahitimu wa Chuo Cha Uuguzi Faraja wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chuo hicho na Mgeni rasmi.

Viongozi wa Chuo cha Uuguzi cha FARAJA wakiwa katika picha ya pamoja na wahudumu wa Msalaba Mwekundu
 

Post a Comment

Post a Comment