| Tulikutana Watalii kutoka Tanzania na Watalii kutoka nchi za Ulaya tukawa kitu kimoja kwa malengo yanayofanana kwa ziara tofauti. | 
| Tulipata marafiki ambao ni watalii kutoka nchi za Ulaya ambao tulibadilishana mawazo na kukubaliana baadhi ya mambo kwa mustakabali ya baadaye | 
| Rais wa Chama Cha Waandishi wa habari wa Mzuzu Nyika Media Club Chimbizga Msimuko alikuwa mstari wa mbele kutupokea na kutupa ushirikiano wa kila hali | 
Post a Comment