Wanahabari Kulwa na Dotto Mwaibale, 
(kulia), wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la mpendwa mama yao 
Twitikege Mafumu Mlagha, aliyefariki Desemba 13 mwaka huu jijini Dar es 
Salaam na kuzikwa Desemba 17 nyumbani kwake Kijiji cha Kibumbe Kiwira 
wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Mapacha hao walizuru katika kaburi hilo 
jana.
Kulwa na Dotto wakiwa wamekaa juu ya 
kaburi la baba yao mzee Anyitike Mwakwama Mwaibale aliyefariki January 
28 mwaka 2007 huku wakilitizama kaburi la mama yao. 
Dotto Mwaibale (kulia), akimuelekeza jambo
 Kulwa wakati wakitoka kuzuru kaburi la mama 
yao.
Dotto Mwaibale akijiburudisha na hindi la 
kuchemshwa baada ya ziara hiyo fupi ya kuzuru kaburi la mama yao. (Picha
 zote na Mkwinda Blog)
Post a Comment