TANGAZO LA  KIFO CHA MAMA MZAZI WA AKINA MWAIBALE
Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake
Familia ya  Mwaibale inatangaza 
kifo cha mama yao mpendwa, Twitikege Mlagha Mafumu kilichotekea leo 
saa 5 usiku wakati akipelekwa  Hospitali ya Hindu Mandal jijini
 Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu.
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa 
mtoto wake Mwalimu Mary Anyitike, eneo la Bucha Mbagala Kuu jijini Dar 
es Salaam.
Kwa mawasiliano zaidi  wasiliana 
na ndugu Kulwa Mwaibale kwa simu namba 0712-707630, O758-971351 na Dotto
 Mwaibale kwa namba ya simu 0712-727062, O786-858550, 
0754-362990.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Post a Comment