TANGAZO LA KIFO CHA MAMA MZAZI WA AKINA MWAIBALE
Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake
Familia ya Mwaibale inatangaza
kifo cha mama yao mpendwa, Twitikege Mlagha Mafumu kilichotekea leo
saa 5 usiku wakati akipelekwa Hospitali ya Hindu Mandal jijini
Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu.
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa
mtoto wake Mwalimu Mary Anyitike, eneo la Bucha Mbagala Kuu jijini Dar
es Salaam.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana
na ndugu Kulwa Mwaibale kwa simu namba 0712-707630, O758-971351 na Dotto
Mwaibale kwa namba ya simu 0712-727062, O786-858550,
0754-362990.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Post a Comment
Post a Comment