Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For
Growth (EfG), Jane Magigita, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo
hayo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For
Growth (EfG), Jane Magigita, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo.
Kutoka kulia ni Mwakilirishi kutoka Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Ilala, Doris Gweba, Diwani wa Kata ya Mchikichini Mhe.Riyani na Mgeni
rasmi, Leopold Kaswezi.
Mgeni rasmi,
Leopold Kaswezi (katikati), akizungumza na wahitimu hao. Kulia ni Diwani
wa Kata ya Mchikichini, Mhe.Riyani na Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For
Growth (EfG), Jane Magigita.
Mjumbe wa EfG, Emanuel Tuju akizungumza
wakati akitoa shukurani kwa mgeni rasmi.
Mhitimu wa mafunzo hayo, Bakari
Yusuph kutoka soko la Feri, akikabidhiwa cheti chake na mgeni
rasmi.
Mhitimu wa mafunzo
hayo, Batreti Malemula kutoka soko la Feri, akikabidhiwa cheti chake na
mgeni rasmi.
Mmoja wa wahitimu wa mafunzo
hayo, Mwalimu Halima Kilimo kutoka soko la Buguruni kikabidhiwa cheti
chake na mgeni rasmi.
Mhitimu wa mafunzo hayo, Mwalimu Chiku
Hamisi kutoka soko la Buguruni, akionesha cheti chake kwa furaha baada
ya kukabidhiwa.
Wahitimu wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wahitimu wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wahitimu wakifuatilia matukio ya ufungaji wa mafunzo yao.
Hapa ni sebene tu kwa kwenda mbele
wakifurahia kumaliza mafunzo hayo. 'Mbona wanyanyasaji katika masoko
watakoma safari hii, wahitimu 25 sio mchezo ni vizuri
wajisalimishe mapema chezea sheria wewe'.
Hapa ni mduara na vyeti ni juu lazima mvione.
Wahitimu ya mafunzo ya usaidizi wa sheria
katika masoko ya Manispaa ya Ilala wakiwa katika picha ya pamoja na
mgeni rasmi katika hafla ya kufunga mafunzo hayo ya siku 25, Mwanasheria
wa Manispaa hiyo , Leopold Kaswezi (aliyevaa suti katikati waliokaa),
aliyemwakilisha Mkurugenzi wa Manispaa hiyo na maofisa wa Shirika
lisa.ilo la kiserikali la Equality for Growth (EfG), kwenye sherehe
zilizofanyika Hoteli ya Lamada Dar es Salaam jana.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za
jamii.com)
Post a Comment
Post a Comment