Safari iliendelea siku ya tatu kutokea Iringa kuelekea vijiji vya Iringa kuitafuta Ilula
Safari na muziki au kazi na dawa ni msemo wa wahenga ambao hutumia katika harakati mbalimbali za kujiliwaza, hapa wapanda baiskeli wakitoa burudani na kuonesha umahiri wa uendeshaji baiskeli kwa mtindo mbalimbali ambapo walifanya hivyo katika vijiji mbalimbali walivyopita.
Post a Comment
Post a Comment