Ads (728x90)

Safari ya Vijana Wapanda Baiskeli wanaomuunga mkono JK na kumpongeza kwa kutimiza miaka 10 iliendelea huku katika baadhi ya maeneo wakipata changamoto ikiwemo kupata pancha lakini hata hivyo wasamaria wema kupitia makundi ya Whatsaap waliweza kuwasapoti kwa kuwa
 

Safari iliendelea hadi Mikumi ambako walipumzika kwa ajili ya safari ya siku inayofuata.




Katika utaratibu wa awali ambao walijipangia wapanda Baiskeli hawa ilikuwa wakifika Mikumi watapanda magari katika eneo la Mbuga za Wanyama ili kuepuka madhara ambayo wangeweza kuyapata kutokana na wanyama wakali, lakini kwa msaada wa askari wa Wanyama Pori wa Mikumi vijana hao walisindikizwa na kupita katika Hifadhi hiyo na kuvuka salama.

Safari iliendelea na kufanikiwa kuvuka mbuga za wanyama








Post a Comment

Post a Comment