Ads (728x90)

Siku ya pili ya safari ya waendesha baiskeli kutoka Mbeya iliwafikisha hadi km 35 kutoka Manispaa ya Iringa ilikuwa ni jioni sana,hata hivyo vijana hao waliendelea na safari yao kulingana na matarario yao kama walivyoipanga safari yao.




Wakiangalia walikotokea ni umbali mrefu kiasi cha km 296 kutoka mkoani Mbeya.

Vijana waliendelea kupiga pedali na kufikia kiasi cha km 5 kutoka Manispaa ya Iringa, walipitia vijiji mbalimbali vya mkoa huo na kupumzika kwa dakika chache, safari yao iliwapitika katika vijiji vya Ifunda, Ihemi,Tanangozi hadi Iringa mjini.
Add caption
  
Safari inaendelea giza limeingia

Post a Comment

Post a Comment