Safari inaendelea |
Kuna wakati mwingine wapanda baiskeli hao walilazimika kukaa barabarani kutokana na uchovu wa safari na mara nyingine kuchimba dawa. |
Wapanda baiskeli hao waliendelea na safari yao huku wakikatisha milima na mabonde kuelekea Jijini Dar es salaam. |
Kuna wakati mwingine walilazimika kupumzika na kupiga mbonji walau kwa dakika 10, safari inaendelea |
Ili kujidhihirisha kuwa wako katika mazingira halali na kuhitaji sapoti kutoka kwenye vyombo vya usalama wapanda baiskeli hao walifika hadi kwenye ofisi ya Mkuu wa Polisi katika kituo cha Makambako. |
Kazi na dawa wapanda baiskeli hao walikamilisha safari yao kwa kupumzika na kupata chakula mjini makambako. |
Kazi na Dawa |
Makambako |
Post a Comment
Post a Comment