|  | 
| Safari inaendelea | 
|  | 
| Kuna wakati mwingine wapanda baiskeli hao walilazimika kukaa barabarani kutokana na uchovu wa safari na mara nyingine kuchimba dawa. | 
|  | 
| Wapanda baiskeli hao waliendelea na safari yao huku wakikatisha milima na mabonde kuelekea Jijini Dar es salaam. | 
|  | 
| Kuna wakati mwingine walilazimika kupumzika na kupiga mbonji walau kwa dakika 10, safari inaendelea | 
|  | 
| Ili kujidhihirisha kuwa wako katika mazingira halali na kuhitaji sapoti kutoka kwenye vyombo vya usalama wapanda baiskeli hao walifika hadi kwenye ofisi ya Mkuu wa Polisi katika kituo cha Makambako. | 
|  | 
| Kazi na dawa wapanda baiskeli hao walikamilisha safari yao kwa kupumzika na kupata chakula mjini makambako. | 
|  | 
| Kazi na Dawa | 
|  | 
| Makambako | 










Post a Comment