Katibu wa CHADEMA (T) Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma katika ziara yake ya kuhamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha kura. |
Baadhi ya walinzi wa CHADEMA Red Briged wakiwa wameweka ulinzi kwenye mkutano wa chama hicho mjini Tunduma wilayani Momba |
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya, Joseph Mwachemba 'China'akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma. |
Post a Comment
Post a Comment