| Katibu wa CHADEMA (T) Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma katika ziara yake ya kuhamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha kura. | 
| Baadhi ya walinzi wa CHADEMA Red Briged wakiwa wameweka ulinzi kwenye mkutano wa chama hicho mjini Tunduma wilayani Momba | 
| Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya, Joseph Mwachemba 'China'akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma. | 
Post a Comment