Ads (728x90)

Baadhi ya wananchi wa Jiji la Mbeya wakiwa wametaqnda barabarani kumpokea Mgombea Urais wa CHADEMA kupitia UKAWA Edward Lowassa leo mchana


Msafara wa mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa ukitokea uwanja wa ndege wa Songwe Jijini Mbeya

Msafara unaendelea kuelekea viwanja vya Ruanda Nzovwe



Kila eneo kulikuwa na wananchi waliozuia msafara kuhitaji kumuona Mgombea urais wa UKAWA Edward Lowassa


Waendesha bodaboda hawakuwa nyuma waliungana na msafara huo



Umati wa watu uliofurika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwapungia mkono wakazi wa Jiji la Mbeya mara baada ya kuwasili uwanjani hapo tayari kwa kuanza mkutano





Mheshimiwa Lowassa akiteta jambo na mmoja wa wanachama wa CHADEMA alkipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa Songwe jijini Mbeya leo mchana













































































































Post a Comment

Post a Comment