Baadhi ya wanahabari wakiwa mbele ya bango linaloonesha Hifadhi ya Taifa ya Kitulo |
Ardhi yenye kijani kibichi kuelekea wilayani Makete ilipo Hifadhi ya Taifa Kitulo |
Mbunge wa Makete Dkt. Norman Sigalla akizungumza na wanahabari mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Makete |
Baadhi ya wanahabari wakifuatilia kwa makini taarifa inayotolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Makete |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Makete Francis Namaumbo |
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Makete Egnatio Mtawa |
Waandishi wa Habari wana TAJATI wakiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa Halmashauri ya Makete mbele ya ofisini hizo walipotembelea mwishoni mwa wiki |
Waandishi wa Habari wana TAJATI wakiwa kwenye ofisi za Hifadhi ya Taifa Kitulo |
Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya Taifa Kitulo akitoa maelezo kwa waandishi wa habari waliotembelea hifadhi hiyo mwishoni mwa wiki. |
Picha ya pamoja kati ya wanahabari wana TAJATI na watendaji wa Hifadhi ya Taifa Kitulo kwenye ofisi za Hifadhi hiyo mwishoni mwa wiki |
Mandhari nzuri ya kuvutia kwenye Hifadhi ya Taifa Kitulo |
Matunda aina mbalimbali yanapatikana katika eneo hilo ambayo yanazidi kuongeza mvuto wa ardhi hiyo |
Miundo mbinu ya kufikia katika Hifadhi ya Taifa ya Kitulo ni sehemu ya changamoto ambazo zinapaswa kutafutiwa ufumbuzi. |
Post a Comment
Post a Comment