Ads (728x90)


Maandamano ya  kuadhimisha siku ya watu wenye ulemavu duniani yalianzia kwenye Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Mbeya


Maandamano yanaendelea!!!




Baadhi ya wanafunzi wa kituo cha CST wakiungana na watu wenye ulemavu duniani katika matembezi ya hiari kuadhimisha siku ya watu wenye ulemavu duniani.

Mgeni rasmi Ofisa Maendeleo ya Jamii Stellah Kategile akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati wa maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu.



Mmoja wa watu wenye ulemavu akionesha kipaji chake cha kucheza sarakasi kwenye maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu jijini Mbeya.

Mwanafunzi mwenye ulemavu kutoka kituo cha kulelea watoto cha CST akionesha kipaji chake cha kupiga gitaa na kuimba

Mkurugenzi wa CST Noelah Msuya akizungumza na wananchi kwenye kilele cha siku ya wenye ulemavu uwanja wa sokoine.

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munassa akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu

Mgeni rasmi Stellah Kategile Ofisa Maendeleo ya Jamii mkoa wa Mbeya akizungumza na wananchgi kwenye maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu dunian



Mgeni rasmi Ofisa Maendeleo ya Jamii Stellah Kategile akiwakabidhi vyeti wahitimu wa Kindegarten wanaotarajia kujiunga na darasa la kwanza mwakani.




Baadhi ya wanafunzi wa Child Support Tanzania wanaotarajia kujiunga na darasa la kwanza wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa serikali pamoja na watendaji wa CST kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine leo mchana
  
 

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munassa akipokea cheti kutoka kwa mkurugenzi wa CST Noelah Msuya wakati wa maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu kwenye uwanja wa Sokoine leo mchana.

Ofisa Maendeleo ya jamii wa Mkoa wa Mbeya Stellah Kategile akipokea cheti maalumu kutoka kwa Mkurugenzi wa CST Noelah Msuya wakati wa maadhimisho wa siku ya wenye ulemavu kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya leo mchana.


Mkurugenzi wa CST Noelah Msuya akikabidhi vyeti kwa baadhi ya walimu wa shule za msingi waliotgoa ushirikiano kwa mradi wa Peleka Rafiki Zangui Wote Shule



Mkurugenzi wa CHILD SUPPORT TZ Noelah Msuya akiwa ameshika sanamu la Mamba lililotengenezwa kwa makosi kwa ajili ya kumkabidhi zawadi Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo mchana

Mkurugenzi mtendaji wa Child Support Tanzania Noelah Msuya akimkabidhi zawadi Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munassa wakati wa maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu duniani yaliyofanyika kwenye uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Post a Comment

Post a Comment