Maandamano ya kuadhimisha siku ya watu wenye ulemavu duniani yalianzia kwenye Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Mbeya |
Maandamano yanaendelea!!! |
Baadhi ya wanafunzi wa kituo cha CST wakiungana na watu wenye ulemavu duniani katika matembezi ya hiari kuadhimisha siku ya watu wenye ulemavu duniani. |
Mgeni rasmi Ofisa Maendeleo ya Jamii Stellah Kategile akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati wa maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu. |
Mmoja wa watu wenye ulemavu akionesha kipaji chake cha kucheza sarakasi kwenye maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu jijini Mbeya. |
Mwanafunzi mwenye ulemavu kutoka kituo cha kulelea watoto cha CST akionesha kipaji chake cha kupiga gitaa na kuimba |
Mkurugenzi wa CST Noelah Msuya akizungumza na wananchi kwenye kilele cha siku ya wenye ulemavu uwanja wa sokoine. |
Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munassa akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu |
Mgeni rasmi Stellah Kategile Ofisa Maendeleo ya Jamii mkoa wa Mbeya akizungumza na wananchgi kwenye maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu dunian |
Mgeni rasmi Ofisa Maendeleo ya Jamii Stellah Kategile akiwakabidhi vyeti wahitimu wa Kindegarten wanaotarajia kujiunga na darasa la kwanza mwakani. |
Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munassa akipokea cheti kutoka kwa mkurugenzi wa CST Noelah Msuya wakati wa maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu kwenye uwanja wa Sokoine leo mchana. |
Mkurugenzi wa CST Noelah Msuya akikabidhi vyeti kwa baadhi ya walimu wa shule za msingi waliotgoa ushirikiano kwa mradi wa Peleka Rafiki Zangui Wote Shule |
Post a Comment